
![]() |
| Hapa ndipo Baba wa Taifa alipozikwa. |

![]() |
| Nashukuru sana kupata nafasi hi ya kutowa heshima. Kwakweli najiona sasa ni mzalendo na Mtanzania Halisi |

![]() |
| Hapa ndipo walipozikwa wazazi wa Baba wataifa mwalimu JK Nyerere |
![]() |
| Mazingira mazuri nyumbani. Kweli ukiwa hapa unapata hisia kuwa mwalimu bado yuko |
![]() |
| Hili ndilo gari lamwisho Baba wa Taifa alilipanda -VX |

![]() |
| Hi sanamu mwalimu alipewa alipokwenda Ujerumani kama sijakosea |
![]() |
| Nikiwa na wadau |
![]() |
| Mwalimu alipenda mazingira sana |
![]() |
| Hi Nyumba ndiyo ile Baba Wa Taifa alijengewa na Jeshi letu. Aliishi ndani ya hi nyumba kwa siku 15 ndipo akaenda Uingereza kwa matibabu. |
![]() |
| Hapa ndipo mwenge wa uhuru unawashwa na kuzimwa. |


![]() |
| Nikishuhudia sehemu ambapo mwenge unapowekwa . Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi tulikuwa tunakimbiza mwenge |
![]() |
| Nyumba ya mwalimu iko juu ya mlima |
![]() |
| Baada ya kustafu Mwalimu alikuwa anajishuhulisha na kilimo. na hapa ndipo alipokuwa anahifadhi mazao yake anayo vuna kama Mtama NK |
![]() |
| Sehemu yakuhifadhia mazao |
![]() |
| Nyumba ya Baba yake Mwalimu. Safi sana imetunzwa mpaka leo |

![]() |
| Mazingira tulivu na mazuri. |
![]() |
| Hi nyumba ndiyo ile mwalimu alijengewa na Chama cha TANU |

![]() |
| Mwalimu alihamia Digital toka 70s. Na hichi kingamuzi ndicho kilikuwa kina mpa habari toka sehemu mbalimbali duniani na yeye huwa alikuwa anasema kaoteshwa. Kumbe alikuwa anapata news hapa. Safi sana |
![]() |
| Nikaona namimi nitowe swagga labda nitaoteshwa |
![]() |
| Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anapunga upepo. Basi ulikuwa ukisikia mtu kaitwa butiama kwa mwalimu ujuwe ndipo hapa alikuwa anabananishwa. |
![]() |
| Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anaka kwenye kona |
![]() |
| Mwalimu alikuwa mtu wa dini |

























0 comments: