Mwanasheria Amani Mwaipaja akitoa mafunzo kwa Wasaidizi wa kisheria
Mwanasheria Amani Mwaipaja (Kulia) akiwa na Mwanasheria Cazimir baada ya kuhitimisha ratiba ya mafunzo
Mwanasheria
Amani Mwaipaja (Mwenye Shuka la Kimasai) akiwa na baadhi ya Washiriki wa
mafunzo ya Wasaidizi wa sheria ndani ya wilaya Mpya ya Gairo. Wasaidizi
hao wamepewa mafunzo ya siku tano.
0 comments: