Sunday, 28 December 2014

0
Mwanasheria Amani Mwaipaja Akiwanoa Wasaidizi wa Sheria Morogoro Vijijini


Mwanasheria Amani Mwaipaja akitoa mafunzo kwa Wasaidizi wa kisheria
Mwanasheria Amani Mwaipaja akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Wasaidizi wa kisheria kutoka kata nne za Mvuha, Mtamba, Mngazi na Mkuyuni
Mwanasheria Amani Mwaipaja (Kulia) akiwa na Mwanasheria Cazimir baada ya kuhitimisha ratiba ya mafunzo
Mwanasheria Amani Mwaipaja (Mwenye Shuka la Kimasai) akiwa na baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya Wasaidizi wa sheria ndani ya wilaya Mpya ya Gairo. Wasaidizi hao wamepewa mafunzo ya siku tano.
Soma Zaidi...

0
Picha : Butiama Nyumbani Kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania


Nikiwa safarini Kanda yaziwa kuelekea Tarime nilipata bahati ya kupita nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere. Hapa ndipo alipozikwa. Nashukuru sana kwa ushirikiano tulio upata tulipofika hapa nyumani. Picha Zote na GRM Production.




Hapa ndipo Baba wa Taifa alipozikwa.











Nashukuru sana kupata nafasi hi ya kutowa heshima. Kwakweli najiona sasa ni mzalendo na Mtanzania Halisi












Hapa ndipo walipozikwa wazazi wa Baba wataifa mwalimu JK Nyerere


Mazingira mazuri nyumbani. Kweli ukiwa hapa unapata hisia kuwa mwalimu bado yuko


Hili ndilo gari lamwisho Baba wa Taifa alilipanda -VX




Hi sanamu mwalimu alipewa alipokwenda Ujerumani kama sijakosea


Nikiwa na wadau




Mwalimu alipenda mazingira sana


Hi Nyumba ndiyo ile Baba Wa Taifa  alijengewa na Jeshi letu. Aliishi ndani ya hi nyumba kwa  siku 15 ndipo akaenda Uingereza kwa matibabu.


Hapa ndipo mwenge wa uhuru unawashwa na kuzimwa. 








Nikishuhudia sehemu ambapo mwenge unapowekwa . Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi tulikuwa tunakimbiza mwenge 




Nyumba ya mwalimu iko juu ya mlima


Baada ya kustafu Mwalimu alikuwa anajishuhulisha na kilimo. na hapa ndipo alipokuwa anahifadhi mazao yake anayo vuna kama Mtama NK


Sehemu yakuhifadhia mazao


Nyumba ya Baba yake Mwalimu. Safi sana imetunzwa mpaka leo








Mazingira tulivu na mazuri. 


Hi nyumba ndiyo ile mwalimu alijengewa na Chama cha TANU




Mwalimu alihamia Digital toka 70s. Na hichi kingamuzi ndicho kilikuwa kina mpa habari toka sehemu mbalimbali duniani na yeye huwa alikuwa anasema kaoteshwa. Kumbe alikuwa anapata news hapa. Safi sana


Nikaona namimi nitowe swagga labda nitaoteshwa


Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anapunga upepo. Basi ulikuwa ukisikia mtu kaitwa butiama kwa mwalimu ujuwe ndipo hapa alikuwa anabananishwa.


Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anaka kwenye kona
Mwalimu alikuwa mtu wa dini





Jamani aksante sana kwa wote wanao tunza na kuhifadhi  kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere bila kumsahau  Madaraka Nyerere. Safi sana.
WITO: Kama mtu ukija Musoma usiache kupita hapa nyumbani kwa mwalimu. Unachangia kitu kidogo tu Tsh 2000 ila nikumbukumbu ambayo hautaisahau maishani mwako. Picha Zote na GRM Production
Soma Zaidi...

0
Wasaidizi wa Sheria (ParaLegals ) wapewa Mafunzo


Washiriki wa mafunzo ya Wasaidizi wa Sheria kutoka kata Nne za Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro (Mvuha, Mkuyuni, Mngazi na Mtamba) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria na Mtafiri Amani Mwaipaja wakati wa Mafunzo
 Moja ya Mabango yakionekana kwenye ukumbi wakati wa Mafunzo
Mwanasheria Cazimir (Wa kwanza kushoto) akiwa kwenye picha ya Pamoja na Viongozi wa Vituo vya Wasaidizi wa Sheria Morogoro Vijijini
Soma Zaidi...

0
Mwanasheria Amani Mwaipaja Aanza Rasmi Program ya Msaada wa Sheria Vijijini



 Njiani kuelekea Kata ya Mvuha iliyopo katika Wilaya ya Morogoro (Vijijini)


 Mwanasheria Amani Mwaipaja akiwa kwenye bodaboda kuelekea kitongoji cha Changarawe kilichopo katika kijiji cha Mvuha.
 Mwanasheria Amani Mwaipaja akiwa katika picha ya pamoja na Aliyekua Mwenyekiti wa Kijiji cha Mvuha (Morogoro Vijijini)Bwana Nyandikira muda mfupi baada ya kuwasili Katika kata ya Mvuha

 Jengo la Ofisi ya Kata ya Mvuha likionekana kwa mbali


 Mto Mvuha (Uliopo Morogoro Vijijini) ukiwa umefurika katika kipindi hiki cha msimu wa mvua


Washiriki wakiwa katika majadiliano ya vikundi wakati wa semina

Habari Kamili
Mwanasheria na Mtafiti Amani Mwaipaja  ameanzisha program ya msaada wa kisheria kwa jamii iishiyo pembezoni mwa nchi ya Tanzania (Vijijini) Kwa lengo la Kuhamasisha Vijana-Wasomi kutumia Elimu na Rasilimali walizonazo katika kufanya kazi za kujitolea kusaidia jamii. Program hiyo imepewa jina la Jamii Kwanza.

Program ya Jamii Kwanza inatoa semina, mafunzo na kusambaza elimu kwa njia ya vitabu ili kuhakikisha kuwa jamii kubwa iishiyo vijijini inatambua haki mbalimbali ilizo nazo kwa mujibu wa sheria za Tanzania
Soma Zaidi...